Ben Pol apiga show kwenye stage moja na Mama yake Mzazi

Posted in
No comments
Tuesday, June 7, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Moja ya matukio ya kufurahisha katika sherehe za miaka 10 za Kiongozi wa Bendi ya Malaika na mkali wa Rhumba, Christian Bella, ilikuwa ni tukio la Msanii wa RnB, Ben Pol kupanda na kuimba katika jukwa moja na Mama yake Mzazi.

Sherehe hiyo ilisindikizwa na wasanii kibao wa Bongofleva kama vile, Mrembo Maua Sama, Legendary Dully Sykes na bila kumsahau Ben Pol. Tizama jinsi Ben Pol alivyoperform katika stage moja na Mama yake.


Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .