Matukio mbalimbali katika Picha kutoka katika Mkutano wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) na Wanahabari, mjini Morogoro, nchini Tanzania.

No comments
Tuesday, June 7, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Mtaalam na Mtafiti wa Tembo ,Dkt Alfred Kikoti akiwasilisha mada juu ya changamoto zinazowakabili wanyama wakubwa ikiwemo mauaji ya Tembo na Faru katika mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania na Wahariri pamoja na Waandishi wa habari waandamizi,mkutano unaofanyika mkoani Morogoro.
Washiriki wa mkutano wa mwaka wa Hifadhi za Taifa Tanzania na Wahariri pamoja na Waandishi wa habari waandamizi
Mtafiti kutoka Taasisi ya utafiti wa wanyama pori (TAWIRI) Dkt Maurus Msuha akiwasilisha mada juu Shoroba au mapitio ya wanyama pori.
Khadija Khalili ambaye ni Katibu wa chama cha Mablogger nchini Tanzaia (TBN), pamoja na baadhi ya wahariri wa Habari, wakisikiliza mada katika mkutano wa Tanapa, mjini Morogoro
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) akichangia mjadala wakati wa mkutano wa TANAPA na  Wahariri pamoja na Waandishi wa habari waandamizi.
Mhifadhi Angela Nyaki akiwasilisha mada juu ya Changamoto za mifugo katika Hifadhi za Taifa (TANAPA).
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New Habari (2006) ltd. Absalom Kibanda akichangia mada

Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakichangia katika mkutano huo.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .