Diamond amkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Madawati 600

Posted in
No comments
Monday, June 6, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Diamond Platnumz Jumatatu hii amemkabidhi mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda msaada wa madawati 600 kwaajili ya shule za Dar. Diamond aliambatana na wasanii wa label ya WCB pamoja na mameneja wake kukabidhi madawati hao kwenye ofisi ya Makonda jijini Dar. Madawati hayo yataweza kusaidia wanafunzi 1800. Tazama picha hapa chini
Msanii Diamond Platnumz pamoja na team nzima ya WCB, akiwasili katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda. Staa huyo alikabidhi madawati 600 kwa ajili ya madarasa ya shule za Dar es salaam.
Diamond akisalimia na mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda
Paul Makonda akisalimia na Abdul Bonge

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .