Ronaldinho kucheza katika 'Retaliation' ya Jean Claude Van Damme

Posted in
No comments
Saturday, June 4, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Staa wa soka duniani, Ronaldinho Gaucho amekubali kucheza kwenye filamu mpya ya kickboxer ‘Retaliation’ ya Jean-Claude Van Damme.

Ronaldinho ambaye kwenye filamu hiyo ametumia jina la Ronaldo atakuwa pamoja na mastaa wengine kama Mike Tyson, Fabricio Werdum na Paige Van Zant.



Producer Rob Hickman kutoka Hollywood amesema, “As producers, much like advertisers and brands, we must look at a potential star’s total value. In addition to his charisma, Ronaldinho also brings with him 66 million social media followers from all parts of the globe. 
Those numbers are an element that a lot of traditional movie stars can’t offer and when we market the film, that is something that will be invaluable.”

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .