Video: Adele agoma kufanya Show kwa sababu ya Shabiki

Posted in
No comments
Friday, June 3, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Msanii wa muziki kutoka nchini Uingereza, Adele alilazimika kusimamisha show yake wikiendi iliyopita kwenye ukumbi wa Arena di Verona, Italia baada ya kumuona shabiki mmoja akiwa ana rekodi vipande vya video vya show hiyo.
Adele alimuomba shabiki huyo aache kurekodi video na anachotakiwa akae ili afurahie show tu kwa kuwa yeye yupo hapo kwa kazi hiyo.
Adele ndiye msanii wa kike nchini Uingereza mwenye utajiri mkubwa na hivi karibuni amefanikiwa kusaini dili mpya na kampuni ya Sony la paundi milioni 90 na kufanya utajiri wake kuongezeka mara mbili zaidi. Tazama video ya Adele jinsi alivyosimamisha show yake.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .