Rich Mavoko~'Ibaki Story (Official Video)

Posted in
No comments
Friday, June 3, 2016 By danielmjema.blogspot.com

BAADA ya kujiunga na Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) iliyochini ya Staa wa Bongo fleva, Diamond Platnumz, Msanii Rich Mavoko ametambulishwa video yake mpya Inayoitwa ‘Ibaki Story’ ambayo imefanyika Johannesburg South Africa.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .