jaydee: hii ndio siri ya kufanya vizuri miaka yote

Posted in
No comments
Saturday, December 17, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na remix ya wimbo ‘Together’  akiwa ameshirikiana na mpenzi wake Spicy, amedai siri ya yeye kukaa kwenye game kwa muda mrefu inatokana na kujichanganya kwa kufanya kolabo ya wasanii tofauti tofauti pamoja na kukubali mawazo mapya kutoka kwa watu wake wa karibu.
“Muziki namna ambavyo naufanya mimi kila siku nabadilisha watu wakufanya nao kazi, sifanyi kazi na watu wale wale kila siku pia napokea mawazo kutoka kwa watu wengine tofauti,” alisema Jay Dee. “Kwa sababu naamini kila mtu ana mchango wake awe ni msanii mchanga au mkubwa. 
Lakini ukisema unafanya kazi na watu wale wale kila siku utakuta muziki wako unafanana, na hiyo ndiyo sababu ambayo inafanya muziki wangu uweze kubadilika kutokana na mazingira,” Pia muimbaji huyo amewataka mashabiki wa muziki wake kuendelea kusubiria kazi mpya akiwa na Spicy.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .