FILBERT BAYI:MWANARIADHA WETU WA LEO....

Posted in
No comments
Saturday, July 6, 2013 By danielmjema.blogspot.com

Filbert Bayi (amezaliwa 23 Juni 1953) ni mwanariadha kutoka nchi ya Tanzania aliyehudhuria Michezo ya Olimpiki mwaka wa 1980 kule Urusi upande wa mbio za umbali wa katikati na kushinda nishani ya fedha katika mbio ya mita 3000.

Mwaka wa 1974 alikuwa ameboresha rekodi ya mbio za mita 1500, na mwaka wa 1975 aliboresha rekodi ya mbio za maili moja. Bayi ni mwanamichezo aliyejenga jina la taifa lake Tanzania kwa heshima ya michezo.

Mara baada ya uhuru wa Tanganyika 1961 karibu michezo yote ilipewa umuhimu na kuvutia wote, watazamaji na wachezaji. Bayi hakika ni mtu wa 

kuheshimika sana.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .