KAMATI YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA YATEMBELEA HIFADHI YA TARANGIRE
Posted in
Utalii
No comments
Friday, February 7, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
![]() |
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya ardhi, maliasili na mazingira wakijiandaa kwa safari ya kuelekea katika hifadhi ya Tarangire, iliyoko wilayani Babati, mkoa wa Manyara |
![]() |
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya ardhi, maliasili na mazingira katika ofisi za hifadhi ya Tarangire, wakisikiliza taarifa ya uhuifadhi kutoka kwa Mhifadhi Mkuu, Stephano Kolli (hayupo pichani) |
![]() |
Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi, maliasili na mazingira, James Lembeli, akijadiliana jambo na Mkurugenzi mkuu wa TANAPA, Allan Kijazi (aliyeinama) |
![]() |
Mhifadhi mkuu wa Tarangire, Stephano Kolli, akitoa taarifa ya hifadhi kwa kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira iliyotembelea Hifadhi hiyo |
![]() |
Muda wa kuanza safari kuelekea katika eneo la mradi, mbele ni mhifadhi wa Tarangire, Stephanojumbe Kolli,wajumbe na waandishi wa habari |
Habari Zingine
- SIKU YA PILI ILIVYOKUWA KWA MABALOZI WAKATI WAKIPANDA MLIMA KILIMANJARO.
- SAFARI YA MABALOZI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KATIKA SIKU YA KWANZA
- Iringa kuongeza vivutio vya Utalii
- NYALANDU ASISITIZA SERIKALI HAINA MPANGO WA KUWAONDOA WAMASAI LOLIONDO
- MANDHARI MWANANA YAWAVUTIA WATALII WA NDANI HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :