NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI PEREIRA SIRIMA AZINDUA MKUTANO WA SIKU SITA WA MAKAMANDA WA JESHI LA POLISI NCHINI LEO MJINI MOSHI MKOANI KILIMANJARO

No comments
Monday, February 17, 2014 By danielmjema.blogspot.com

Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa makamanda wa polisi, wakimsikiliza mgeni Rasmi, Naibu waziri wa mambo ya ndani, Pereira Sirima (hayupo pichani), nyuma katikati ni Meneja wa NMB kanda ya Kaskazini, Vicky Bishubo (aliyevaa miwani).
Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Robert Boaz pamoja na Makamanda wengine wa Jeshi hilo, wakimsikiliza Naibu waziri wa mambo ya ndani, Pereira Sirima (hayupo pichani
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, akitoa taarifa ya utekelezaji wa mikakati ya kukabiliana na uhalifu nchini pamoja na mikakati mingine ya Jeshi hilo wakati wa Uzinduzi wa mkutano wa siku sita wa makamanda wa jeshi la polisai uliofanyika leo katika ukumbi wa chuo cha taaluma ya polisi moshi (MPA
Naibu waziri wa Mambo ya ndani, Naibu waziri wa mambo ya ndani, Pereira Sirima, akizungumza na Makamanda wa Jeshi la Polisi nchini baada ya kuzindua mkutano wa siku sita wa makamanda hao ulioanza leo katika Ukumbi wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi (MPA).
Kutoka kulia ni IGP Ernest Mangu, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Sirima, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama na Kaimu IGP, Abdulrahman Kaniki
Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa mkutano wa siku sita wa Makamanda wa Polisi nchini, Naibu waziri wa Mambo ya ndeani, Pereira Sirima akipokelewa na IGP Mangu pamoja na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama. 
Bendi ya MPA, inayoongozwa na Mwanamuziki, Dogo Vena, ikitumbuiza katika Mkutano huo ulioanza leo.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .