ZIARA YA KAMATI YA LEMBELI KATIKA HIFADHI YA ARUSHA
Posted in
Utalii
No comments
Thursday, February 6, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Mwenyekiti wa kamati ya ardhi,malaisili na mazingira,Mh James Lembeli
akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha
na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
|
Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi,maliasili na mazingira,James Lembeli akiwa ameongozana na naibu waziri wa maliasili na utalii,Mahamud Mgimwa pamoja na kaimu mkurugenzi mkuu TANAPA,Martin Loibooki katika lango kuu la kuingia hifadhi ya taifa ya Arusha(ANAPA). |
Baadhi ya watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha.Naibu waziri wa maliasili na utalii,Mh Mahamud Mgimwa akizungumza
katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha na kamati ya
ardhi,maliasili na mazingira.Kikao cha kamati ya ardhi,malasili na mazingira na watumishi wa
hifadhi ya taifa ya Arusha.
|
Mjumbe wa kamati ya ardhi,maliaisili na mazingira ,Mh Humud Abdi Jumaa akizungumza katika kikao cha watumishi wa hifadhi ya taifa ya Arusha na kamati ya ardhi,maliasili na mazingira |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :