By
danielmjema.blogspot.com
|
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Vijana, katika
Ukumbi wa Mtenda jijini Mbeya, leo jioni ikiwa ni maadalizi ya
shamrashamra za miaka 37 ya CCM zitakazofanyika Jumapili hii jijini
hapa. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu
Mkuu wa UVCCM, Sixtus Mapunda. |
|
Vijana akiwa wamembeba Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, baada ya
kuwakuna kwa hotuba yake, alipozungumza nao katika ukumbi wa Mtenda
jijini Mbeya |
|
Vijana hao wakimbeba pia Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye |
|
Kinana akiagana na vijana hao nje ya ukumbi baada ya kuzungumza nao |
|
Baadhi ya mashabiki wa timu ya Mbeya City, wakimpungia mkono Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana alipopishana nao akiwa katika gari lake
mjini Mbeya leo jioni. |
|
Paul Makondya kutoka Makao Makuu ya CCM, akiongoza msafara wa Kinana kutoka ukumbini kwenda mjini.
Picha zote na Bashir Nkoromo wa CCM Blog |
0 MAOINI :