LIVERPOOL 5-1 ARSENAL UWANJA WA ANFIELD
Posted in
Michezo
No comments
Saturday, February 8, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Klabu ya Arsenal imejikuta ikiangukia pua mbele ya Liverpool katika uwanja wa Anfield baada ya kukubali kipigo cha mbwa mwizi cha 5-1 katika mchezo uliokuwa na ushindani wa hali ya juu.
ushindi huo ni mkubwa kwa Liverpoll kuweza kuupata katika mchezo kati yake na Arsenal ambayo msimu huu ilionekana kufufuka ambapo wadau wengi na wachambuzi wa mambo ya soka walikuwa wakiipigia upatu kushinda Ligi wa msimu wa 2013/2014.
katika mchezo mwingine mkali ambapo Chelsea ambao wanakumbukumbu nzuri ya kuibuka na ushindi dhidi ya Manchester city wiliyopita watajaribu kutafuna mfupa wa Newcastle ambayo hivi sasa inapumulia mashine.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :