MWANAMKE AUWAWA KIKATILI BAADA YA KUKATAA KUTOA PENZI

No comments
Sunday, February 9, 2014 By danielmjema.blogspot.com

Familia ya Marehemu, Sekunda Mushi (42), aliyeuwawa kinyama usiku wa kuamkia, Januari 6, wakiwa na majonzi katika mazishi ya mwanamke huyo anayedaiwa kuuwa kwa sababu ya kimapenzi baada ya kuibuka kwa ugomvi kati yake na Mpenzi wake, aliyetajwa kwa jina la Gerald Mamkwe.
Picha ya Marehemu ikionesha sehemu ya kichwa iliyojeruhiwa vibaya katika ugomvi huo uliopelekea kifo chake.
sehemu ya jicho
Jeneza la Marehemu, Sekunda Mushi (42), aliyeuwawa kinyama usiku wa kuamkia, Januari 6, wakiwa na majonzi katika mazishi ya mwanamke huyo anayedaiwa kuuwa kwa sababu ya kimapenzi baada ya kuibuka kwa ugomvi kati yake na Mpenzi wake, aliyetajwa kwa jina la Gerald Mamkwe.
Sehemu ya jicho lililojeruhiwa na Rato
Familia ya Marehemu, Sekunda Mushi (42), aliyeuwawa kinyama usiku wa kuamkia, Januari 6, wakiwa na majonzi katika mazishi ya mwanamke huyo anayedaiwa kuuwa kwa sababu ya kimapenzi baada ya kuibuka kwa ugomvi kati yake na Mpenzi wake, aliyetajwa kwa jina la Gerald Mamkwe.
Wazazi wa Marehemu, Mzee Onesmo Mushi (kushoto) na Mama Aurea Mushi (kulia) wakionesha majonzi makubwa kufuatia kifo cha kinyama cha binti yao, Sekunda Mushi, aliyezika jana katika kijiji cha Longuo A, katika ya Uru Kusini, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya waombolezaji waliohudhuria ibada ya maziko ya Marehemu Sekunda Mushi (42), aliyeuwawa usiku wa kuamkia Januari 6 mwaka huu, Sekunda alikutwa na umauti baada kujeruhiwa vibaya katika maeneo ya kichwa kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ugomvi wa Kimapenzi.
Mmoja wa waombolezaji waliohudhuria maziko ya Marehemu Sekunda Mushi (42), akipita mbele ya Jeneza kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mwanamke huyo aliyeuwawa kikatili na mtu anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake.
Mmoja wa waombolezaji waliohudhuria maziko ya Marehemu Sekunda Mushi (42), akipita mbele ya Jeneza kutoa heshima za mwisho kabla ya mazishi yaliyofanyika jana katika kijiji cha Longuo A, kata ya Uru Kusini, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Sekunda alikutwa na umauti baada ya kuibuka kwa ugomvi kati yake na mtu anayesadikikika kuwa ni mpenzi wake.
Ndugu wa Marehemu Sekunda Mushi, wakiomboleza kwa uchungu kufuatia kifo cha Mwanamke huyo kilichotokea Januari 6 mwaka huu.
Baadhi ya ndugu wakimfariji Mama Aurea Mushi ambaye ni Mama mzazi wa Marehemu Sekunda Mushi
Jeneza la mwili wa Marehemu Sekunda Mushi likiingizwa kaburini katika maziko yaliyofanyika jana katika kijiji cha Longuo A, kata ya Uru Kusini, manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Baba mzazi wa Sekunda Mushi (mwenye suti Nyuesi), akisikliza mahubiri ya mwisho katika ibada ya maziko ya mwanae, Sekunda Mushi, aliyeuwawa kikatili usiku wa kuamkia Januari 6 katika kile kile kinachodaiwa kuwa ni ugomvi wa kimapenzi.
Mzee Onesmo Mushi, ambaye ni Baba Mzazi wa Marehemu Sekunda Mushi, akiweka udongo katika kaburi la mwanamke huyo aliyeuwawa kinyama na mtu anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake, kutokana na ugomvi wa kimapenzi.
Mama Aurea Mushi, ambaye ni Mama Mzazi wa Marehemu Sekunda Mushi, akiweka udongo katika kaburi la mwanamke huyo aliyeuwawa kinyama na mtu anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake, kutokana na ugomvi wa kimapenzi.
Dada wa Marehemu aliyeshikwa, akisaidiwa kuweka udongo katika kaburi la Marehemu Dada yake, Sekunda Mushi, aliyeuwawa usiku wa Kuamkia Januari 6 mwaka huu.
Kwa habari na picha zaidi Bonyeza:Mjema blog

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .