By
danielmjema.blogspot.com
|
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kupalilia
katika shamba la Mage Kolimwa (wapili kulia), katika Kijiji cha
Mlimanyoka, Kata ya Nsalanga, wilala ya Mbeya mjini. Kinana alifika
kumsaidia mkulima huyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 37 ya
CCM, inayofanyika Kitaifa Jumapili hii mjini Mbeya. |
|
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisaidiana
na vijana kuandaa jukwaa litakalotumika wakati wa mapokezi ya matembezi
ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM, kwenye Uwanja wa Sokine mjini Mbeya.
Matembezi hayo yanaongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete |
|
Vijana wakiwa kwenye mazoezi ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM yatakayofanyika Jumapili hii mjini Mbeya. |
0 MAOINI :