NEWHABARI (2006) LTD, YAFANYA PARTY LA NGUVU KUMPONGEZA MHARIRI WAKE MTENDAJI, ABASALOM KIBANDA KWA KUSHINDA KESI.

No comments
Saturday, February 1, 2014 By danielmjema.blogspot.com


Ukitaka umuuzi Mwani Nyangassa, Mhariri wa Michezo wa Gazeti la Mtanzania, kitu white hicho basi mnyime muziki. Atakutoa ndukiiiiiiiiii. Nyuma ya Mwani Nyangassa ni Esther Mbusi. Mwenye miwani ni baba shughuli, Absaol Kibanda, naye akionyesha ubora wake.
Absalom Kibanda kushoto akifurahia jambo kutoka kwa MC, Sidi Mgumia, ambaye ni mwandishi wa Gazeti la The African. Kulia kwa Sidi ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa New Habari, Hussein Bashe.

 Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo, Hassan Bumbuli, Jonathan Tito, Kambi Mbwana, Grace Hoka na Mareges Paul wote wamesimama. Ilikuwa burudani kubwa, huku wakiangalia kinachojiri katika tukio hilo la aina yake katika hafla hiyo.
Weee madada wa New Habari hawa, Jenifer Ullembo kushoto na Zaituni Kibwana. Wote walikuwapo na kushuhudia kinachoendelea.

Shughuli inaendelea hapa. Kila mmoja macho mbelee. Hongera bwana Abasalom Kibanda..


 Muda wa burudani ukafika, Kwaito kwa kwenda mbele....NI BALAAAA!!!

Mhariri Mtendaji wa New Habari 2006 Ltd, wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa, Dimba na The African, Absalom Kibanda, akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni hiyo, hawapo pichani katika hafla fupi ya kumpongeza ushindi wake katika kesi iliyokuwa inamkabili iliyodaiwa kuwa ni uchochezi juzi. Halfa hiyo ilifanyika katika ofisi za Kampuni hiyo, Sinza Kijiweni.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .