UWT KILIMANJARO WAADHIMISHA MIAKA 37 YA CCM KWA KUTOA ZAWADI SHULE YA MSINGI MWERENI
No comments
Sunday, February 2, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
![]() |
| Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT), mkoa wa Kilimanjaro, Zuena Mushi, akiotesha mti katika shule ya msingi Mwereni, iliyoko katika Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro wakati wa maadhimisho ya miaka 37 ya CCM, kulia ni Mwenyekiti wa umoja huo Manispaa, Lucrecia Kundy |
![]() |
| Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Kilimanjaro, Zuena Mushi (kushoto), akimlisha mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, ambaye ni mwanafunzi katika shule ya msingi Mwereni, iliyoko katika Manispaa ya Moshi, mkoani hapo, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM.kulia kwake ni Mwenyekiti wa umoja huo Manispaa, Lucrecia Kundy |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako





0 MAOINI :