MAANDALIZI YA KILIMANJARO MARATHON 2014 YAKAMILIKA...
No comments
Saturday, March 1, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
| Zoezi la uandikashaji ukiendelea katika Hoteli ya Kiss, jioni hii |
| Watu waendelea kujitokeza kujiandikisha katika Hoteli ya Kiss |
| Uandiskishaji unaendelea |
| Maelekezo ya hapa na pale ya namna ya ushiriki |
| Hadi ya wanafusnzi walijitokeza kujiandikisha |
| Mbio za kipekee nchini zinazoshirikisha wageni wengi |
| Mafundi wa Tanga Cement wakirekebisha banda lao |
| Marekebisho ya mwisho ya Jukwaa kuu yanaendelea |
| Sehemu ya kumalizia mbio za Vodacom km 5 fun run zinaendela |
| hili ndilo banda la Gapco |
| Muonekano wa uwanja wa Ushirika jioni ya leo |
| Njia ya kukimbilia ndani ya uwanja |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :