3 BORA WA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA KANDA YA ZIWA KUPATIKANA LEO
No comments
Tuesday, April 8, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Baadhi ya washiriki wakionyesha uwezo wao wa kuigiza mara baada ya kupewa muswada (script). |
Majaji wa
Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama
Tanzania Movie Talents, Single Mtambalike (kulia), Yvonne Chery
(Katikati) na Roy Sarungi (Kushoto) wakipitia alama za washiriki
kwaajili ya kuweza kuwatangaza washindi waliofanikiwa kuingia hatua ya
tatu ambapo wanachukuliwa washiriki 30 kwaajili ya kupata mchujo wa
washindi watatu bora ambao wataibuka na Kitita Cha Shilingi laki 5 kila
Mmoja kwa Kanda ya Ziwa na baadae kujiunga na washindi wengine watatu
kutoka kila kanda katika fainali ya mwisho itakayofanyika Mkoani Dar Es
Salaam na Mshindi Kujinyakulia Zawadi Kubwa kabisa ya Kitita Cha
Shilingi Milioni 50 za Kitanzania. (50,000,000/=)
Baadhi ya
washiriki wakiwa mbele ya majaji (hawapo pichani) kwaajili ya kutajwa
washiriki waliofanikiwa kuingia hatua ya tatu ambapo washiriki 30 tu
ndio watachukuliwa kwaajili ya kupatikana washindi watatu watakaoibuka
na kitita cha Shilingi laki 3 kila Mmoja na Baadae kuungana na washindi
wengine wa kanda zilizobakia katika Fainali ya mwisho itakayofanyika
Mkoani Dar Es Salaam.
Baadhi
ya washiriki wawili (wa kwanza kulia na wapili) wakiwa hawaamini kama
wamechaguliwa kuingia hatua ya washiriki 30 kwaajili ya mchujo wa kupata
washindi watatu wa Kanda ya Ziwa, Mkoani Mwanza
Mmoja wa
washiriki aliyefanikiwa kuchaguliwa kwa hatua ya tatu (mwenye fulana
nyeupe) akipongezwa na mshiriki mwenzie ambae hakupata bahati ya
kuchaguliwa kwaajili ya kuendelea na hatua inayofuata.
Washiriki wakipongezana mara baada ya kuchaguliwa kuendelea na hatua inayofuata.
Baadhi ya washiriki waliofanikiwa kuchaguliwa kwa hatua ya tatu wakishangilia mara baada ya kuchaguliwa.
Habari Zingine
- Guzo mitandaoni: Thamani ya Barua ya Mohammad Ali kwa Mandela
- Wasiwasi DR Congo muhula wa Kabila ukifikia kikomo
- jaydee: hii ndio siri ya kufanya vizuri miaka yote
- Maskini Mr. Nice azushiwa kifo kwenye Social Media
- Jionee jinsi Kuwait walivyoanikiwa kuivuta bahari nchi kavu ili kutengeneza mji mpya
- SALAMU YA DIAMOND KWA WASANII KATIKA KUSHEREHEKEA SIKU YA UHURU......NI SHEEEEDAH
- MWANAAFA MWINZAGO AIBUKA KINARA WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014 NA KUONDOKA NA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 50 ZA KITANZANIA
- MTEMVU ATOA MKONO WA IDD WA VYOMBO NA SH. 10,000 KWA VIONGOZI 912 WA MATAWI YA CCM TEMEKE
- MSANII WA BONGO MOVIE ESTER KIAMA AFUTURISHA WASANII WENZAKE JIJINI DAR
- Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :