By
danielmjema.blogspot.com
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh1D8cyGxYc0Ct0ab3QsYXPBKwSLm4xsaRFz5JFsFfb2tdOMNzrUxIz8qtTC9wKGaOEXaBOSJ8YD1t-pPA65fS0w2s-aO-6nw7DeBg05LoEDW6vQW8eHrCSTWXrfxkz1uHdHNi35DbNh_k/s1600/2014-03-27+10.57.58.jpg) |
Meneja wa shirika la nyumba la taifa mkoa wa
Kilimanjaro, Shehe Kombo akizungumza kabla ya kukabidhi msaada wa bati
kwa wahanga wa mvua iliyoambatana na Upepo mkali katika wilaya za Hai
na Mwanga. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjeloxEEVIal7K8RuFntTNCd92H17kiSdkOsj_r8fUcDv_mzOXO7U0HN8amjvI8FHuEFhEZ_kffNyInU3s1DEDYvhFuydoUYO1JVGvlKaV0Ci7BVSfmJJd3NhlHVJ0whufcF0023khNRzA/s1600/2014-03-27+11.25.53.jpg) |
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama
akizungumza kabla ya kukabidhiwa msaada wa bati kwa wahanga wa mvua
iliyoambatana na Upepo mkali katika wilaya za Hai na
Mwanga. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhh7Ty_xDAV7uTCSV1u9KzWIhIncIr30SCCYF6WfIx3QZz_5Uw4xmI7Gdn4vbSNip0w_E3_lyNLfhkO4Lw4s0mMFUgzaba1sqEH2A75zCT-5P2ZZFAAm1D6RZ551drU9d8vd3wIXdpRqvo/s1600/2014-03-27+10.58.41.jpg) |
Watumishi wa shirika la nyumba la taifa NHC
mkoa wa Kilimanjaro |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPuf4INvYRNnUWxPwRruH8hkAnZrjx2Putuo9coc7yU1bNpjIR29_iVt2da-dgYLXb-FoWo5-tsSApkEzgDvKRQSxmXMqOcRZyW4B8R2Zgvfcs9-ebGjHAaFWaTooRRCCq0Y9_OH4Vt1Y/s1600/2014-03-27+10.47.27.jpg) |
Msaada wa bati ukishushwa . |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgvLDlsgqQ0FxAtV84XAoDMB5rqbnJFcQIWzlUPCoU_CJVqkwEKwZ7fdh6hHmqpfbK04pHn3IPBOcCfh6YiCqBaUSnRXqKkDjx3JrE-cMDGbFf8MuDUgNP0puMa8pYk_9aH8s2aoBnhG64/s1600/DSCF0940.JPG) |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama
akipokea msaada wa bati toka kwa meneja wa shirika la nyumba la taifa
NHC mkoa wa Kilimanjaro Shehe Kombo kama msaada kwa wahanga wa mvua
iliyoambatana na Upepo mkali katika wilaya za Hai na
Mwanga. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjJLiMPVTULvDgH7zmrG4YEZLrOI1PqeK7_lyGD1Vt32V0YyK23Sfqno6AIc8rWOiiwNEhi1wslTwGwKx3H3vJZVcTD3_bk6CvVFbyy3UD8aIqy_tfgmNZlBkuWByB1srjeIjT2paE-dec/s1600/2014-03-27+11.11.28.jpg) |
Mkuu wa mkoa wa
Kilimanjaro Leonidas Gama akimkabidhi msaada wa bati zilizotolewa na
shirika la nyumba la taifa NHC mkoa wa Kilimanjaro, mkuu wa wilaya ya
Hai,Noavatus Makunga . |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEpON7Dd0HgthFDaI7VRiMc9sJ9Wr3DnZDQC5Q4oWFxoAXzVZwx3Yw8674IVewXfYFeh8AWfiJEAH7U9Z7dgNIKHdpWMAaMY_al-gyKY4ykgsI37a_bLxXdix_S9O0sbf9QHDtiNzZGkM/s1600/2014-03-27+11.11.37.jpg) |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama
akimkabidhi msaada wa bati
zilizotolewa na shirika la nyumba la taifa NHC mkoa wa Kilimanjaro, mkuu
wa wilaya ya Mwanga, Shahib Ndemanga. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj3jEN0Lr4naCGYkZpCaV01wvtSpwhK6R9VKVqmkBUaTq2WbLQslzFi52x3UL64zWAF18uR96oeUDkZVFUFrpShheYd97h8qyIqq-r9CP0Nhc9kYglEk-xdFKscJ9bpOI_js2jWXkVCSIA/s1600/DSCF0937.JPG) |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama
akimshukuru Meneja wa shirika la nyumba la taifa NHC mkoa wa
Kilimanjaro mara baada ya kukabidhiwa msaada wa bati kwa ajili ya
wahanga wa mvua iliyoambatana na Upepo mkali katika wilaya za
Hai na Mwanga. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj200-nSU5m6Lj8YR5h7A3x_1JTPlmHG1IFuC-wrZxGDn5iUGyycBW2pB0pSm6eQWCzfZHjVtPFSKLCpfKGTzf403n4zLvVPDfd7PMESCCiQ6f__EIQfuQzNeVyy8zSlJDw7k6KbuuPWoQ/s1600/2014-03-27+11.35.41.jpg) |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama
akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa NHC mkoa wa Kilimanjaro
pamoja na wakuu wa wilaya waliopatiwa msaada wa bati. |
0 MAOINI :