TBC ILIVYOFANYA HALFA YA KUHITIMISHA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA 2014, DAR
No comments
Tuesday, July 15, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana (kulia) akiwakaribisha wageni walioalikwa katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai 12, 2014 katika ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Elisante ole Gabriel, akiongea machache katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai 12, 2014 katika ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Elisante ole Gabriel, akimkaribisha Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe. Juma Nkamia ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai 12, 2014 katika ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia akiongea akiongea katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai 12, 2014 katika ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Mshehereshaji wa Hafla hiyo Elisha Elia akiongea machache.
Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere akitoa shukrani zake kwa niaba ya wasanii katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai 12, 2014 katika ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ommy Dimpoz akiongea machache hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai 12, 2014 katika ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Kutoka kushoto ni Mboni Masimba, Mbunge wa Temeke Mh. Abbas Mtemvu pamoja na mchambuzi wa Mpira Manara katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai 12, 2014 katika ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Wasanii walioalikwa wakipakua chakula (futari) iliyoandaliwa katika hafla hiyo.
Wasanii mbali mbali walioungana katika hafla hiyo wakipata futari.
Wafanyakazi wa TBC hawakuwa nyuma kujipongeza kwa kazi nzuri waliyoifanya.
Wasanii wakifurahia jambo na Mchambuzi wa Mpira, Mw. Kashasha.
Msanii JB akiongea na Mchambuzi wa Mpira wa Miguu, Mwl. Kashasha.
Wasanii wakijadili mambo.
Dokta Cheni akishow love.
Mw. Kashasha nae alikuwepo.
Meza kuu kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana, Mbunge wa Temeke Mhe. Abbas Mtemvu, Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia pamoja na Mdau mkubwa wa Michezo, Juma Kipingu wakifuatilia mpira wa fainali ya kombe la dunia 2014, kati ya Argentina na Ujerumani
Wasanii wakifuatilia kwa makini mpira huo.
Wafanyakazi wa TBC nao hawakuwa nyuma.
Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakipongezwa kwa kazi waliyoifanya.Picha ya pamoja ya viongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na wakurugenzi wa bodi. PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.
Habari Zingine
- Katibu Mkuu amuaga rasmi Balozi wa Finland aliyemaliza muda wa kazi nchini
- KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA TAIFA LA SWEDEN
- WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WAFANYA MKUTANO MKUBWA JIJINI DAR ES SALAAM KUJAILI MCHANGO WA DIPLOMASIA KATIKA KUFIKIA DIRA YA TAIFA 2025
- Africa Day 2015 is an opportunity to celebrate the development of the African continent as well as consider the various opportunities that it offers - DHL
- Guzo mitandaoni: Thamani ya Barua ya Mohammad Ali kwa Mandela
- Wasiwasi DR Congo muhula wa Kabila ukifikia kikomo
- jaydee: hii ndio siri ya kufanya vizuri miaka yote
- Maskini Mr. Nice azushiwa kifo kwenye Social Media
- Jionee jinsi Kuwait walivyoanikiwa kuivuta bahari nchi kavu ili kutengeneza mji mpya
- Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 05.05.2018
- Tuliwapa Salah na De Bryune 'Second Chance' iweje tusimpe Balloteli
- KIUNGO WA ZAMANI WA TAIFA STARS ATHUR MWAMBETA ANAOMBA MSAADA
- LESSONS FROM SOCCER
- Zlatan Ibrahimovic alivyo tembelea sanamu linalotengenezwa kwa ajili yake
- Nawaza kwa Sauti: Leo Nimemkumbuka Shujaa Patrice Lumumba
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :