By
danielmjema.blogspot.com
 |
Gari dogo aina ya Suzuki Carry likiteketea moto katikati ya barabara maarufu kama Double Road jirani na makao makuu ya jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro. |
 |
Kikosi cha zima moto cha manispaa ya Moshi kilifika eneo la tukio kwa ajili ya kuudhibiti moto huo. |
 |
Askari wa Kikosi cha zimamoto akijaribu kuzima moto uliokuwa ukiteketeza gari hilo. |
 |
Baadhi ya mashuhuda wakitizama moto ulivyokuwa ukiteketeza gari hilo. |
 |
Askari wa kikosi cha zima moto walifanikiwa kuuzima moto huo. |
 |
Hata hivyo sehemu ya mbele ya gari hilo tayari ilikuwa imeteketea moto kwa kiasi kikubwa. |
0 MAOINI :