SKYLIGHT BAND WAZIDI KUTIKISA JIJI LA DAR KWA BURUDANI NZITO

Posted in
No comments
Friday, September 26, 2014 By danielmjema.blogspot.com

Skylight Band Divas Mary Lukos(Wa kwanza Kushoto) Aneth Kushaba(katikati) Na Digna Mpera (Wa kwanza Kulia) wakitoa burudani ya nguvu Kwa Mashabiki Wao Ndani ya Kijiji cha Maraha Thai Village Ijumaa Iliyopita.Kila Ijumaa ya mwisho wa wiki Band Ya Skylight Wanapiga show Ndani ya Thai Village.Karibu Leo Upate burrudani ya nguvu yenye kukonga Roho yako na kutakuwa na Supriseeeeeee kibaoooo ndani ya Thai Village

          Hashimu Donode Akiimba kwa raha zake ndani ya Thai Village 

Digna Mpera akizipiga zile voca; kali za kumtoa nyoka pangoni
Mary Lukos Akifurahi na kucheza ala nzuriiii toka kwa wapiga vyombo wa Skylight Band Hawapo Pichani
Mary Lukos Kwa Rahaaaa zakeee akifurahia Muziki mzuri
Aneth Kushaba (wa kwanza kulia)akiimba kwa Furaha kuwapa burudani mashabiki wake ndani ya Thai village
Mary Lukos Akiimba Kwa Hisia kaliii Huku akipewa sapoti na Wenzake kushoto


Sony Masamba(mutoto ya Congo)akiimba kwa Raha zakee ndani ya Thai Village
Joniko Flower(mutu Ya Congo)Akizipiga zile vokali kaliii za kilingala ndani ya Thai Village
Vijana wa Skylight Band Joniko Flower(wa Kwanza Kushoto)Sony Masamba (katikati)Na Sam Mapenzi Wa mwisho kulia wakiyarudi mauno vilivyo kutoa burudani kwa mashabiki wao
Weweee Joniko Flower Akiwaongoza Wenzake kutoa burudani
Muziki ni raha na Hisia kama Sam mapenzi(wa kwanza kulia)anavyoonekana akiyarudi   mauno kwa rahaa zake

Hahaha Vijana wa Skylight hwa nao hakusita kucheza muziki mzuriiii uliokuwa ukiporomoshwa
Imma Mpiga Gita wa Skylight Band akizichana nyuzi vilivyooo ili kutoa burudani ya nguvuuuuuuu
Idrisa akizipiga drumsss zake kuleta redha ya muziki mzuriiiiiiiiii
Wapiga Kinanda wa Skylight Band wakifurahia ukodak wa nguvuuuu

Mpiga Tumba wa Skylight Band Daudi Tumba  kitia ladha zake za tumba
Haya Skylight Band Huwa inawapenda sana mashabiki wake kama pichani inavyoonekana mashabiki hupata mda na wasaa wa kusheherekea siku zao za kuzali kwa kuimbiwa na kukata keki,Operation Manager Wa Mo Blog Zainul Mzige akilishwa keki ya Birthday kwa rahaa kabisaaa.

Burudani imenoga sasa Hebu jionee mwenyewe mashabiki hawa wakiyarudiiii vya kutoshaaa kwa rahaaa zaoooo
Hahahaha Ni furahaaa na Kucheza muziki tuuuu jionee mwenyewe hapa
Mpaka juu mpaka juuuuuu kwa rahaaa zao kabisa mashabiki hawaaaaa
Hapoooo sasa ni viunoooo viunoooo mpaka basiiii,wakifurahia muziki mzuri toka kwa bendi yao Skylight.

Hapo sasaaaaa unaambiwa mwanamke nyongaaaaaa

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .