Madonna atembelea makazi duni ya Kibera, Nairobi
Posted in
Burudani
No comments
Monday, July 4, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Muimbaji wa Marekani na mshindi wa tuzo za Grammy, Madonna, yupo nchini Kenya alikoenda kutembelea makazi duni ya Kibera yaliyopo jijini Nairobi.
Muimbaji huyo ni muasisi wa taasisi ya Raising Malawi na balozi mwema wa Child Welfare nchini Kenya. Madonna anayekadiriwa kuwa na utajiri wa dola milioni 800 ametumia muda wake kuzungumza na wakazi wa makazi hayo ya Kibera. Ameshare picha kadhaa za kwenye akaunti yake ya Instagram akiwa kwenye makazi hayo maarufu.
“Hugging Mama Sopfie. This Amazing Woman lives in a 10 by 10 dwelling in Kibera with her 14 children-2 adopted. Her husband killed in a political uprising. She’s starting her own business with the help of @shofco. God Bless Her,” ameandika Madonna kwenye picha moja.
Habari Zingine
- Timbulo: SIjarejea kwenye ualimu
- Vijana wazidi kujitokeza usaili wa Maisha Plus East Africa, Dar es salaam yatia fora
- RAPPER WA CAMEROON, NGOMA AACHIA VIDEO YA WIMBO MPYA ‘ALL LES DAY’, AIELEZEA COLLABO YAKE NA RAY VANNY
- New Hit: Lady Jay Dee – Sawa Na Wao
- Madonna atembelea makazi duni ya Kibera, Nairobi
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :