TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL.24.6 WIKI YA NENDA KWA USALAMA. ZITASAIDIA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA
No comments
Saturday, September 13, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia), akimkabidhi Mganga Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, SSP Charles Msenga mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 24.6 kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama inayotarajia kuanza hivi karibuni. Anayeshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Dar es Salaam jana, ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga.
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia), akimkabidhi Mganga Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, SSP Charles Msenga (wa pili kushoto) mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 24.6 kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama inayotarajia kuanza hivi karibuni. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Dar es Salaam jana, ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga (wa pili kulia) na Mjumbe wa Kamati ya Usalama Barabarani, Henry Bantu.
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kushoto) na Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga wakionesha moja ya fulana zilizotolewa msaada na TBL kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. TBL ilikabidhi pia hundi yenye thamani ya sh. mil. 24.6 kwa ajili hiyo.
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kushoto) na Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga wakionesha moja ya fulana zilizotolewa msaada na TBL kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. TBL ilikabidhi pia hundi yenye thamani ya sh. mil. 24.6 kwa ajili hiyo. Fedha hizo pia zitasaidia upimaji wa afya za madereva. (PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG0
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia) akimkabidhi moja ya fulana na cheti Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. TBL ilikabidhi pia hundi yenye thamani ya sh. mil. 24.6 kwa ajili hiyo. Kushoto ni Mganga Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, SSP Charles Msenga
Habari Zingine
- TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL.24.6 WIKI YA NENDA KWA USALAMA. ZITASAIDIA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA
- WAZIRI NYALANDU AMWAGA MSAADA WA MILIONI 10 WA MABATI 420 SHULE ZA SEKONDARI KWA AJILI YA MAABARA
- JESHI LA POLISI TABORA LAKAMATA WAWILI KWA KUTENGENEZA MAGOBOLE
- TBL YAMKABIDHI KAMANDA MPINGA RIPOTI YA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA NCHINI
- MWALIMU MBARONI KWANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI
- WATU NANE WAKAMATWA KWA TUKIO LA VIUNGO VYA BINADAMU JIJINI DAR.
- Tigo yakabidhi Kompyuta na Printa kwa Jeshi la Polisi Mwanza, Tanzania
- Microsoft kuinunua Linkedin kwa Dola Bilioni 26.2
- BODI YA FILAMU NCHINI KENYA YAISHINIKIZA Coca Cola KUFUTA TANGAZO
- KUTOKA KIJIWENI: ILI UFANIKIWE ACHA KUFANYA HAYA
- TANZANIA: RC DAR ES SALAAM, SAID MECK SADIKI AZINDUA DUKA LA HUAWEI JIJINI DAR ES SALAAM
- MKURUGENZI WA KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA IRINGA GNSM ATOA MSAADA WA CHAKULA KWA YATIMA TOSAMAGANGA
- DK. TIZEBA ATOA MISAADA KWA WAHANGA WA MOTO JIMBONI KWAKE
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :