WAREMBO MISS TANZANIA 2014 WAWASILI KAMBINI.
Posted in
Ulimbwende
No comments
Saturday, September 13, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Na Father Kidevu Blog
Wanyange 30 wanao wanbia taji la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazo fanyikia mapema mwezi Oktoba jiji Dar es Salaam.
Warembo hao waliowasdili kwa muda tofauti kuanzaia saa 12 alfajiri ya leo na kupokelewa na waandaaji wa Miss Tanzania katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya jiji la maraha la Dar.
Warembo kutoka Kanda ya Ziwa walitia fora pale warembo hao walipowasili kambini hapo wakiwa ndani ya gari ya Mshindi wa Kanda ya Ziwa ambayo alizawadiwa hivi kjaribuni katika shindano lao.
Warembo wakiwasili kambini
Warembo wa Kanda ya Ziwa wakiteremka katika gari lao baada ya kuwasili na inaelezwa waliendesha kutoka jijini Mwanza.
Warembo wa KJanmda ya Ziwa wakijiandikisha baada ya kuwasili kambini.
Warembo wakielekea chumba cha mkutano.
Warembo wakiwa katika chumba cha semina ambapo maelezo mbalimbali ya ka,mbi yao yalitolewa.
Warembo wakiwa katika chumba cha semina ambapo maelezo mbalimbali ya ka,mbi yao yalitolewa.
Habari Zingine
- KABAAANG!!! MISS TANZANIA SITTI MTEMVU ALIVUNJA MASHARTI YA.....!
- SITTI MTEMVU AKUBALI KUACHIA TAJI LA MISS TANZANIA
- MISS SINGIDA 2014 DORICE MOLLEL ATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WODI YA WATOTO NJITI
- Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanya at the Miss World in London
- DORIS MOLLEL ACHANGIA VITABU SHULE YA MSINGI MPUNGUZI, DODOMA KWA USHIRIKIANO NA MAK SOLUTIONS LTD
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :