UKAWA WAKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI LEO

Posted in ,
No comments
Wednesday, September 10, 2014 By danielmjema.blogspot.com

Umoja wa katiba ya wananchi nchini Tanzania-UKAWA- uliolisusia Bunge maalum la katiba tokea mwezi Aprili, leo ulikuwa na mkutano na waandishi habari .

Madhumuni ya mkutano huo ni kueleza msimamo wa UKAWA kuhusu yalioafikiwa katika mazungumzo kati ya viongozi wa vyama vya kisiasa vinavyoundwa kile kinachojulikana kama Kituo cha Demokrasia Tanzania na Rais jakaya Kikwete kuhusu mkwamo uliojitokeza baada ya Ukawa kujitoa kwenye Bunge la katiba. 

Msimamo wa ukawa unafuatia maelezo yaliotolewa jana na Mwenyekiti wa Kituo hicho mbunge John Cheyo kuhusu matokeo ya mkutano wao na Rais Kikwe
Mohamed Abdul-Rahman amezungumza na katibu wa UKAWA Julius Mtatiro na kwanza anaelezea juu ya msimamo wao. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .