MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR APIGA KURA YA WAZI YA HAPANA, ATOLEWA NJE KWA ULINZI MKALI
Posted in
Matukio
No comments
Wednesday, October 1, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Othman Masoud amepiga kura ya wazi na amepiga hapana kwa sura na vifungu kadhaa, na vyengine amevikubali. Baadae mjumbe mmoja ameomba nafasi ya kutoa taatifa na amemshambulia Mwanasheria huyo kuwa hafai huku wajumbe wa Bunge hili wakishangiria.
Baada ya hali kuwa tete Mwanasheria huyo ametokewa kwenye ukumbi wa Bunge kwa mlango maalum chini ya ulinzi.
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar amepiga kura ya wazi na amezikataa ibara kadhaa kama vile 2,9,70 hadi 75,86,128,129,158, 159,160,161,243 hadi 251 na nyongeza ya kwanza ambayo inataja mambo ya
Muungano.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :