YES TANZANIA YAFUNGUA DARASA LA MATEJA
Posted in
Matukio
No comments
Wednesday, October 1, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Katibu wa Shirika la YES Tanzania Lusajo Mwamakura akizungumza na waathirika wa dawa za kulevya mara baada ya kuanza kutolewa elimu kwa vijana hao ambao wengi wao wanatoka katikati ya mji wa Moshi. |
Mwenyekiti wa Shirika la YES Tanzania,Laurance Mwonyony akizungumza na waathirika wa dawa za kulevya hawapo pichani.(kulia) kwake ni mweka hazina wa shirika hilo John Mmbando. |
Baadhi ya vijana walioathirika na dawa za kulevya wakisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na walimu,(hawapo pichani) |
Baadhi ya vijana walioathirika na utumiaji wa dawa za kulevya wakijitambulisha wakati wa darasa hilo. |
Vijana wengi wameudhuria katika darasa hilo lengo likiwa ni kuachana kabisa na matumizi ya dawa za kulevya. |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :