JAJI ANTONY BAHATI KUZIKWA LEO
Posted in
Kifo
No comments
Tuesday, June 2, 2015
By
danielmjema.blogspot.com
Baadhi
ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Jaji mstaafu, Antony Bahati
nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam. Mazishi ya jaji Bahati
yatafanyika kesho Juni 2 katika makaburi ya Kinondoni. (Picha na Francis
Dande)
Baadhi ya waombolezaji.
Ndugu na jamaa wakiwa nyumbani kwa marehemu jaji mstaafu Antony Bahati.
Waombolezaji wakiwasili nyumbani kwa marehemu.
Jaji Antony Bahati enzi za uhai wake.
Waombolezaji wakiweka sahihi kitabu cha maombolezo.
Mwili
wa Jaji mstaafu Antony Bahati ukiwasili nyumba kwake Oysterbay ambapo
mazishi yatafanyika kesho Juni 2 katika makaburi ya Kinondoni.
Mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani.
Watoto wa marehemu wakiwa na huzuni mara baada ya mwili kuwasili nyumbani.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :