MAGUFULI AZIDI KUPATA WADHAMINI WENGI KATIKA MIKOA YA MWANZA NA GEITA
Posted in
Habari na Jicho Pevu la Kijiwe
No comments
Monday, June 8, 2015
By
danielmjema.blogspot.com
Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini
waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano
kupitia chama hicho kutoka kwa Katibu wa CCM Wilayani Chato Mkoani Geita.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiwa katika picha na baadhi
ya Wadhamini wake katika Ofisi ya Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Chato
Mkoani Geita.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akisalimiana na wadhamini
wake Wilayani Chato mara baada ya kupata idadi kubwa ya wajumbe katika Wilaya
hiyo.
Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini
waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano
kupitia chama hicho kutoka kwa Katibu wa CCM Wilayani Sengerema.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :