WAZIRI BERNARD MEMBE ACHUKUA FOMU YA KUOMBA RIDHAA YA KUTEULIWA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS 2015
Posted in
Habari na Jicho Pevu la Kijiwe
No comments
Wednesday, June 10, 2015
By
danielmjema.blogspot.com
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe leo June 8, 2015 amechukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma baada ya kutangaza nia hiyo jana (Jumapili).
Waziri Membe akipokelewa fomu na Mkewe Dorcas mara baada ya kukabidhiwa fomu mjini Dodoma. alipokelewa na makada na wafuasi wa chama hicho mjini Dodoma baada ya kukabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Oganaizesheni, Seif Khatib ambapo baada ya kupokea fomu hiyo Membe alisema; “Ninafurahi kukabidhiwa fomu hii na nina hakika kutokana na kujipima na kujiona ninafiti nafasi hii kulinganisha na waombaji wengine ni lazima tubadilishe nchi yetu kuwa nchi ya uchumi wa viwanda.”
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :