MAREKANI: MWANAHABARI AZAWADIWA DOLA MILIONI 55 NA MAHAKAMA
Posted in
Kimataifa
No comments
Tuesday, March 8, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Mwanahabari wa michezo nchini
Marekani Erin Andrews amezawadiwa dola milioni 55 baada ya kurekodiwa
akiwa uchi na mtu aliyekuwa akimfuatilia mienendo yake.
Bi Andrews ,mwanahabari wa michezo katika kituo cha michezo cha Fox alipigwa picha mwaka 2008 kupitia mwanya wa mlango wa hoteli na Michael David Barret,ambaye aliiweka mtandaoni kanda hiyo ya video.
Alilia wakati uamuzi huo ulipokuwa ukitolewa na kuwakumbatia mawakili wake pamoja na familia yake. Baadaye katika taarifa iliowekwa katika mtandao wa twitter,aliishukuru mahakama ,na baraza hilo,mawakili na familia yake.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :