By
danielmjema.blogspot.com
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni
wakiongea na wanahabari mara baada ya kukutana na kufanya mazungumzo
kwenye Ikulu Ndogo ya Arusha jijini Arusha leo Machi 1, 2016 mara tu
baada ya Kiongozi huyo wa Uganda kuwasili jijini humo kuhudhuria Mkutano
wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. |

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni wakiwa katika mazungumzo
kwenye Ikulu Ndogo ya Arusha jijini Arusha leo Machi 1, 2016 mara tu
baada ya Kiongozi huyo wa Uganda kuwasili jijini humo kuhudhuria Mkutano
wa !7 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.(Hisani ya Ikulu ya Tanzania) |
0 MAOINI :