BODI YA FILAMU NCHINI KENYA YAISHINIKIZA Coca Cola KUFUTA TANGAZO
Posted in
afrika mashariki
,
Biashara
No comments
Wednesday, April 13, 2016
By
danielmjema.blogspot.com

Mkurugenzi mkuu wa bodi ya filamu ya bodi hiyo nchi Kenya Ezekiel Mutua, alisema kuwa tangazo hilo lilikosolewa na umma kutokana na picha za kubusiana ambazo zinatajwa kuwa za kukiuka maadili ya kijamii.
Mutua amesema kuwa baada ya kufanya mkutano na meneja wa Coca Cola nchini Kenya Nicholas Mruthu kampuni hiyo imekubali kuleta tangazo lingine lisilo na picha kama hizo.
Bodi hiyo pia imeonya makampuni ikiyataka yaheshimu maadili ya familia kutokana na kile yanayojumuisha kwenye matangazo ya biashara na muda ambao matangazo hayo yanapeperushwa .
Habari Zingine
- KUTOKA KIJIWENI: ILI UFANIKIWE ACHA KUFANYA HAYA
- TANZANIA: RC DAR ES SALAAM, SAID MECK SADIKI AZINDUA DUKA LA HUAWEI JIJINI DAR ES SALAAM
- UHURU WA HABARI SIO KUIANGALIA TU SERIKALI - MWAKYEMBE
- JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA LATANGAZA KUSUSIA KUANDIKA HABARI ZA MKUU WA MKOA WA DAR
- WENGI WALIVYOJITOKEZA KUMUAGA MWANA TBN JENNIFER LIVIGHA (CHINGA ONE) HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR
- Wachimbaji mgodi 15 waliokwama ardhini waokolewa nchini Tanzania
- Al-Shabab washambulia kambi ya majeshi ya Kenya nchini Somalia
- Tigo yakabidhi Kompyuta na Printa kwa Jeshi la Polisi Mwanza, Tanzania
- Microsoft kuinunua Linkedin kwa Dola Bilioni 26.2
- BODI YA FILAMU NCHINI KENYA YAISHINIKIZA Coca Cola KUFUTA TANGAZO
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :