Haya ndiyo mabadiliko yaliyoafikiwa na CAF kuhusu mashindano yake
Posted in
Michezo
No comments
Thursday, May 12, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Kuanzia mwaka 2017 mashindano ya Klabu Bingwa barani Afrika CAF yatakuwa yanashirikisha Makundi manne baada ya mawili kama mfumo wa sasa unavyofanya, mabadiliko hayo hayajaishia katika mashindano ya Klabu Bingwa Afrika pekee hata Kombe la shirikisho barani Afrika.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :