Jionee jinsi Kuwait walivyoanikiwa kuivuta bahari nchi kavu ili kutengeneza mji mpya
Posted in
Matukio
No comments
Thursday, May 12, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Mwaka 1986 Khalid Yousef Al Marzouq alikuwa na wazo la kujenga mji katika jangwa, Al Marzouq alikufa lakini mwanae Fawaz ameifuata ndoto ya baba yake ambayo imezaa matunda na ujenzi huo ulianza 2003 baada ya kuchelewa kutokana na vita ya ghuba.
Eneo hilo ambalo liko mpakani mwa Kuwait na Saudi Arabia halikuonekana kama ni eneo sahihi la kutengeneza mji mpya lakini Mji huo wa ajabu umejengwa kwenye jangwa kwa kuivuta bahari nchi kavu kwa mfumo unaoitwa ingenious system of tidal gates, mfumo ambao umeileta bahari mile 6 nchi kavu. Mji huo unaweza kuchukua nyumba 250,000.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :