Mayweather aonesha Jeuari ya Fedha, Atumia Dola milioni moja kwenye Birthday ya Binti yake
Posted in
Burudani
No comments
Monday, May 23, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Ijumaa ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya mtoto wa kike wa Mayweather, Iyanna Mayweathe aliyetimiza miaka 16 na kufanya sherehe (Sweat 16) kwenye ukumbi wa Mirage Hotel, Las Vegas.
Kubwa zaidi ni jeuri ya pesa aliyotumia Mayweather kumuandalia mwanae sherehe hiyo kwa kutumia zaidi ya dola milioni moja huku akimualika Drake na Future watumbuize kwa wageni waliokuwepo kwenye sherehe hiyo.
Tazama video hapa.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :