Rich Mavoko kuwa chini ya Lebo ya WCB ya Diamond? Sikia hii
Posted in
Burudani
No comments
Monday, May 23, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Diamond Platnumz alimpeleka Rich Mavoko kwenda kushoot video ya wimbo wake mpya na wa kwanza akiwa chini ya Wasafi Records, imebainika.
Mavoko anadaiwa kuwa ameshasaini kuwa chini ya record label hiyo inayokua kwa kasi kitambo tu lakini uongozi unasubiri hadi video yake itakapokamilika ndipo atambulishwe rasmi.
Diamond na Mavoko walienda Afrika Kusini May 16 na ofcourse hawakusema chochote zaidi ya muimbaji huyo wa ‘Make Me Sing’ kuweka picha hiyo juu akiwa kwenye ndege na kuandika: On Another Move…. Eeh Mwenyez Mungu nibarikie na Hii…. pray #WcbWasafi.” Mavoko anakuwa msanii wa tatu kuwa chini ya WCB baada ya Harmonize na Raymond.
Habari Zingine
- RAPPER WA CAMEROON, NGOMA AACHIA VIDEO YA WIMBO MPYA ‘ALL LES DAY’, AIELEZEA COLLABO YAKE NA RAY VANNY
- New Hit: Lady Jay Dee – Sawa Na Wao
- Madonna atembelea makazi duni ya Kibera, Nairobi
- Timbulo: SIjarejea kwenye ualimu
- Vijana wazidi kujitokeza usaili wa Maisha Plus East Africa, Dar es salaam yatia fora
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :