Usishangae Donald Trump Akiuza moja ya Majengo haya kufadhili Kampeni yake
Posted in
International
No comments
Monday, May 23, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Mgombea Urais nchini Marekani Donald Trump amesema anaweza ‘kuuza jengo’ ili kusaidia mfuko wa kampeni yake ambayo inaweza kugharimu dola billioni 1.
Mwanzoni hakuwa na wazo la kufadhili msimu ujao wa kampeni kwa kuuza mjengo au mali isiyoamishika lakini mabadiliko hayo yamekuja baada ya ripoti ya baadhi wafadhili wakubwa GOP huenda wakajitoa kwenye mbio hizo. Trump aliiambia Fox kwamba:
‘Ninaweza kufadhili mabilioni ya dola kwa kuuza jengo, nina uchaguzi wa kufanya hivyo’. .
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :