Quick Rocka ft G Nako na Jux~'Hapo' (Official Video)

Posted in
No comments
Friday, June 3, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Vituo mbalimbali vya Redio, Televisheni na mitandao ya kijamii, Afrika mashariki na kati vinazidi kupata ugeni wa video mpya za bongofleva ambapo time hii ni zamu ya Quick Rocka, G Nako na Jux kwenye single mpya inaitwa ‘hapo’. Nimekusogezea Video ya wimbo huo, ukishamaliza kuitazama tupia Comment.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .