JK AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM MBEYA

Posted in ,
No comments
Monday, February 3, 2014 By danielmjema.blogspot.com




Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza matembezi ya mshikamano kutoka Soweto, Mwanjelwa, hadi Uwanja wa Sokoine, ikiwa ni moja ya shughuli za maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho tawala.




 Akiwahutubia wananchi baada ya  matembezi




Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) na akipata maelezo kutoka kwa Bunker Roy(katikati) Mwanzilishi wa Chuo kinachofundisha mambo ya ufundi wa aina mbali mbali ikiwemo vifaa vya umeme wa jua katika kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajistan Nchni India akiwa katika ziara rasmi na ujumbe wake katika kukuza uhusiani na mashirikiano ya Kijamii.[Picha na Ramadhan Othman India.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na mwenyeji wake katika Chuo cha ufundi wa Mafunzo ya Amali Bunker Roy(wa pili kulia) Mwanzilishi wa Chuo kinachofundisha mambo ya ufundi wa aina mbali mbali ikiwemo vifaa vya umeme wa jua katika kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajistan Nchni India akiwa katika ziara rasmi na ujumbe wake katika kukuza uhusiani na mashirikiano ya Kijamii.[Picha na Ramadhan Othman India.]

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .