MIAKA 37 YA CCM NA KAMPENI ZA UDIWANI KIBORILONI KILIMANJARO

Posted in ,
No comments
Monday, February 3, 2014 By danielmjema.blogspot.com

Katibu wa CCM mkoani Kilimanjaro, Steven Kazidi akiwa Jukwani katika Kampeni ya Kumnadi mgombea udiwani katika kata ya Kiboriloni, Manispaa ya Moshi, kwa tiketi ya CCM, Willy Aidano. Kampeni hizo ziliandamana na maadhimisho ya mwaka huu ya miaka 37 ya CCM ambyo kimkoa yalifanyikia katika kata hiyo.

Katibu wa CCM, Steven Kazidi, akielekea Jukwaani kutangaza sera za Chama katika Maadhimisho ya miaka 37 za CCM


Kazidi akiwa kazini.....CCM ni miaka 37


Mwanasheria Mama Elizabeth Minde ambaye ni Mwenyekiti wa CCM manispaa ya Moshi, akimnadi Mgombea wa Udiwani Kiboriloni, Willy Aidano
Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa UVCCM, Manispaa ya Moshi, Abdalla Thabit, Kada mmoja wa CCM, Katibu wa Wazazi mkoa wa Kilimanjaro, Selemani Pinde pamoja na Wanachama wengine wa CCM wakimsikiliza Katibu wa CCM mkoani Kilimanjaro, Steven Kazidi aliyepanda jukwanii kumnadi   mgombea udiwani katika kata ya Kiboriloni, Manispaa ya Moshi, kwa tiketi ya CCM, Willy Aidano. Kampeni hizo ziliandamana na maadhimisho ya mwaka huu ya miaka 37 ya CCM ambyo kimkoa yalifanyikia katika kata hiyo.


Katibu wa CCM mkoani Kilimanjaro, Steven Kazidi (kulia) akiwa na mgombea udiwani katika kata ya Kiboriloni, Manispaa ya Moshi, kwa tiketi ya CCM, Willy Aidano. Kampeni hizo ziliandamana na maadhimisho ya mwaka huu ya miaka 37 ya CCM ambyo kimkoa yalifanyikia katika kata hiyo.
Wazee wa kimaasai wakimsikiliza Katibu wa Uchumi wa CCM, mkoa wa Kilimanjaro, Paul Materu (hayupo pichani)akizungumza katika maadhimisho ya miaka 37 ya CCM kiwilaya yaliyofanyika katika shule ya msingi Kirya, wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Wanachama wa CCM katika maadhimisho ya miaka 37 ya CCM kiwilaya yaliyofanyika katika shule ya msingi Kirya, wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Katibu wa Uchumi wa CCM Kilimanjaro, Paul Materu akisalimiana na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe katika maadhimisho ya miaka 37 ya CCM kiwilaya yaliyofanyika katika shule ya msingi Kirya, wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro.


Kundi la kudance la kizazi kipya (Wanafunzi wa shule ya msingi) wakitumbuiza katika maadhimisho hayo jana.
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe (kulia), akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mwanga, Mathewa Msoffekatika maadhimisho ya miaka 37 ya CCM kiwilaya yaliyofanyika katika shule ya msingi Kirya, wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .