By
danielmjema.blogspot.com
|
Mzee wa CCM wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Yusuf Bundala
Kasubi, (kulia), akimkabidhi Waziri Mkuu
wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, zaidi ya shilingi milioni moja, zilizochangwa na wanachama wa CCM mkoani
Tabora, ili kumuwezesha mtangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, Mbunge wa
Monduli, Edward Lowassa, ili azitumia kulipia ada ya kuchukua fomu za kuwani
urais kupitia chama hicho. Hafla ya kukabidhi fedha hizo ilifanyika nyumbani
kwa Mtangaza nia huyo, mjini Dodoma JAlhamisi Juni 4, 2015. Badaaye jioni
Lowassa anatarajiwa kuchukua fomu hizo, makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
|
|
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, ambaye tayari
ametangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, Edward Lowassa, akisalimiana na
ujumbe wa wana CCM kutoka mkoani Tabora, walipofika nyumbani kwake mjini Dodoma
leo Alhamisi Juni 4, 2015, ili kumpatia mchango wao wa nkumuwezesha kulipia ada
ya fomu ya kuwani urais.

ametangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM, Edward Lowassa, akiwashukuru wana
CCM kutoka mkoani Tabora, baada ya kumkabidhi mchangio wa zaidi ya shilingi
milioni 1 ili azitumia kulipia ada ya kuchukua fomu za kuwania urais katika
hafla iliyofanyika nyumbani kwake mjini Dodoma, leo Alhamisi Juni 4, 2015.
|
|
Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM wilaya ya Nzega mkoani
Tabora, Majaliwa Bilali, (kulia), akizungumza sababu zilizowapelekea wana CCM
mkoani humo kuchanga fedha za kumuwezesha Mtangaza nia ya kuwania urais kupitia
CCM, Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, (kushoto), wakati
wa hafla fupi ya kukabidhi mchango huo wa shilin gi milioni 1 zilizofanyika
nyumbani kwa mtangaza nia huyo, mjini Dodoma, Alhamisi Juni 4, 2015. Badaaye
jioni Lowassa anatarajiwa kuchukua fomu hizo, makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
|
0 MAOINI :