TUNDAMAN ANUSURIKA KIFO AJALINI HUKO IDETELO
Posted in
afrika mashariki
,
Ajali
No comments
Sunday, April 17, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Mwanamuziki wa Bongo Flava, Tunda Man leo amenusirika kifo
baada ya kupata ajali mbaya eneo la Idetelo, katikati ya Nyololo la
Makambako, nchini Tanzania
Kwa mujibu wa Tunda Man akiwa amesinzia ghafla alisikia mlio mkubwa uliopelekea gari yao kupoteza muelekeo na kuelekea porini, ndani ya gari yao kulikuwana watu watano ambao mmoja wao alifariki dunia papo hapo huku wengine wakijeruhiwa.
Aidha Tunda Man amemtaja marehemu kuwa ni Mussa maarufu kwa jina la Man Katuzo ambaye taratibu za kusafirisha mwili wake kuupeleka Kilosa mkoni Morogoro zinaendelea.
Source: GPL
Habari Zingine
- WENGI WALIVYOJITOKEZA KUMUAGA MWANA TBN JENNIFER LIVIGHA (CHINGA ONE) HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR
- Wachimbaji mgodi 15 waliokwama ardhini waokolewa nchini Tanzania
- Al-Shabab washambulia kambi ya majeshi ya Kenya nchini Somalia
- Ndege ya KoreanAir yawaka moto muda mfupi baada ya kutoka Korea Airport
- Mabaki ya ndege ya EgyptAir yapatikana
- TUNDAMAN ANUSURIKA KIFO AJALINI HUKO IDETELO
- WATU 100 WAHOFIWA KUTEKETEA KATIKA HEKALU LA WAHINDU, WENGINE 150 WAMEJERUHIWA
- MAFURIKO YAATHIRI DARAJA LA KIKULETWA WILAYANI HAI
- UHURU WA HABARI SIO KUIANGALIA TU SERIKALI - MWAKYEMBE
- JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA LATANGAZA KUSUSIA KUANDIKA HABARI ZA MKUU WA MKOA WA DAR
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :