Shetta afunguka kuhusu ishu ya Video ya 'Namjua' kufafana na 'Bado' ya Harmonize ft Diamond
Posted in
Burudani
No comments
Monday, May 16, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Kama umekuwa mfuatiliaji wa vichupa vilivyotoka hivi karibuni, ukiangalia Harmonize ‘Bado’, halafu ukiangalia wimbo wa Shetta ‘namjua’ aina ya video yake haina tofauti sana na ‘namba one’ ya Diamond na stlye za uchezaji ya ule wimbo inafanana sana na wimbo wa ‘bado’ wa Harmonize, sasa inamaana idea zimeisha mpaka Shetta kaamua kupita na vitu vilivyofanywa tayari na wenzake.
Msikilize na mtazame alivyofunguka kupitia Crispin TV ya Perfect Crispin. Angalia video hii hapa chini.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :