Kama Ulimiss, Habari kubwa ni kwamba Mercy Masika atawala tuzo za Groove Awards zilizofanyika jana Usiku

Posted in
No comments
Thursday, June 2, 2016 By danielmjema.blogspot.com


Usiku wa jana, tuzo za muziki wa Injili za Groove Awards, zilifanyika jijini Nairobi, ambapo mwanamuziki, Mercy Masika anayetamba na wimbo wa 'Nikupendeze' aliibuka kidedea kwa kutwaa tuzo tatu. 

Masika alitarajiwa kufanya kile alichokifanya katika tuzo hizo hasa ikizingatia kuwa mwaka huu umekuwa mzuri kwake. mbali na tuzo nyingine alizopata, Msanii huyo pia aliibuka msanii bora wa kike huku katika tuzo ya Msanii bora wa kiume, Chipukizi L-Jay Maasai akiwashangaza wengi baada ya kuwabwaga wakongwe, Pitson na Daddy Owen.
L-Jay na Mercy Masika katika pozi na tuzo zao

Ifuatayo ndiyo orodha kamili ya washindi:

•Collabo Of The Year- Everlyne Wanjiru Feat Vicky Kitonga, Tulia.
•Nyanza Counties Song Of The Year-Abasani B’ Omusunte by Femmy Kerubo.
•Ragga/Reggae Song Of The Year- Wave by Jfam Feat Omari.
•Central Counties Song Of The Year- Githe Tiwe by Phyllis Mbuthia.
•Western Africa Artist Of The Year-Sinach, Nigeria.
•Audio Producer Of The Year-Saint P.
•Radio Presenter Of The Year-Eva Mwalili,Milele FM.
•Eastern & Central Africa Artist Of the Year- Christina Shusho.
•Western Counties Song Of The Year-Njigula by Timothy Kituyi.
•Coastal Counties Song Of The Year-Ushindi by Faith Mwikali.
•Dance Group Of The Year-Jims & Dims.
•Rift Valley Song Of The Year-Ashe Mpapa by Pst. Samuel Somorei.
•Album Of The Year-Emmanuel by Mercy D Lai.
•Eastern Counties Song Of The Year- Ni Ngai Niwukilasya by Stephen Kasolo.
•Songwriter Of the Year-Pitson
•Video Of The Year-Afadhali Yesu, Size 8.
•HipHop Son Of The Year-Easy by Maluda Feat. Juliani.
•Gospel Radio Show Of The Year-Gospel Sunday, Milele FM.
•Worship Song Of The Year-Nikufahamu by Everlyn Wanjiru.
•Video Producer Of The Year-Sammy Dee, True-D Pictures.
•South Africa Artist Of The Year-Joyous Celebration.
•Talent To Watch-DJ Covenant,Rurumuka,Inooro TV.
•Skiza Ring Back Tune Of The Year-Mwema by Mercy Masika.
•Afro-Pop Song Of The Year-Ayaya by Majik Mike Feat. Kris Ee Baba.
•DJ Of The Year-DJ Ruff.
•TV Show Of The Year- The Switch,K24.
•New Artist Of The Year-Mash Mwana.
•Group Of The Year-Kelele Takatifu.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .