Video ya 'Kamatia Chini yafikisha views milioni moja

Posted in
No comments
Thursday, June 2, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Video mpya ya Navy Kenzo ya wimbo wao “Kamatia chini” imeweza kufikisha views milioni moja ndani ya miezi minne na kuiacha video ya wimbo wa awali wa GAME wa kundi hilo.

Hii inaonyesha kuwa video hii ya “Kamatia Chini” imekuwa na nguvu zaidi bila hata ya promo na hii inakuwa ni video yao ya kwanza kufikia rekodi hiyo kuliko video zao zote waliowahi kutoa.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .