Ratiba ya Ligi Kuu England imetoka leo June 15 2016
Posted in
Michezo
No comments
Wednesday, June 15, 2016
By
danielmjema.blogspot.com

Kama wewe ni shabiki la Ligi Kuu England ratiba ya Ligi kwa ajili ya msimu wa 2016/2017 imetoka, rasmi sasa Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017 itaanza kuchezwa rasmi Jumamosi ya August 13 2016, bingwa mtetezi wa Leicester City ataanza kwa kucheza na Hull City. Unaweza bonyeza HAPA kupata ratiba yote.

Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :