By
danielmjema.blogspot.com
 |
Mwanamuziki maarufu wa bendi ya FM. Academia Wanangwasuma Clastobella,
akiwaonyesha kipaji chake wananchi waliojitokeza katika onyesho la bendi
hiyo lililofanyika katika ukumbi wa kilimani mwishoni mwa wiki chini ya
udhamini wa Profesa Maji Marefu. |
 |
Mpiga gitaa la solo naye akiwapagawisha wapenzi wa bendi hiyo waliofulika ukumbini hapo
|
 |
Wanamuziki hao wakionyesha umahili wao wa kucheza ngwasuma |
 |
Mpiga ngoma naye akionyesha manjonjo yake |
 |
Wacheza shoo machachali hawakuwa nyuma kuonyesha manjonjo yao |
 |
RAIS wa bendi hiyo Nyoshi El Sadati ak Sauti ya simba, akiwatambulisha
wanamuziki wa bendi hiyo kwa mashabiki waliojazana katika ukumbi wa
kilimani |
 |
Nyoshi Kulia akiwaongoza wanamuziki wake kuimba |
 |
Wakilishambulia jukwaa |
 |
Nyoshi akiteta na mdhamini wao Profesa Maji Marefu na Kulia ni Mbunge
wa Kahama Mjini James Lembeli, akiwatambulisha wabunge wenzake
waliohushulia onyesho hilo |
 |
Wabunge waliohudhulia onyesho hilo |
 |
Mgeni rasmi wa onyesho hilo Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na
Michezo, Juma Nkhamia, akozungumza na mashabiki waliohudhuria |
 |
Mbunge Sugu naye hakuwa nyuma anazungumza na mashabiki kulia ni Mbunge Wenje |
 |
Mashabiki wakijimwaga kulicheza Ngwasuma |
 |
Wacheza Shoo wa bendi hiyo wenye kupepelusha viuno kama feni wakiwajibika jukwaani |
0 MAOINI :